Make your own free website on Tripod.com

William Wambura

Home"Mwanzo"
Matukio na Picha
Hali ya kenya
Habari Kutoka Kenya-News from Kenya
My Son Charles
About Me
Favorite Links
Contact Me
Family Photo Album
Chungu wazi
My Resume
Ubunifu na Sanaa

UYOGA-Hii ilikuwa ni siku ya ukimwi dunia 1/12/2007,ikiwa immeangukia katika mojawaop ya mikutano ya kuunda kongamano la vijana,

(Tanzania Youth Speak Forum)mchakato ulioanzishwa na makundi ya vijana yalio mbele katika kutetea na kulinda haki ma masilahi ya kijana,baadhi ya makundi hyo ni kama,YOMNET(Youth Media Network),TYC(Tanzania Youth Coalition)na watu binafsi,wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu.Kongamano hili lilikuja baada ya mchakato kufanyika kue inchini Misri,lililoitwa African Youth Speak Forum.Baada ya kongamano hilo lilikuwa  kama changamoto kwa vijana,kuona umuhimu wao wa kudai haki kupitia sauti ya pamoja kama vijana wanaowakilisha taifa katika masuala yawahusiyo.Wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa UNICEF.Siku ya Ukimwi duniani tarehe 1.12.2007,UYOGA ilisindikizwa na mgeni wao kutoka nchini Kenya Bwana Samuel Kongere,

07hivadsdaydec2007.jpg
UYOGA's Youth

UYOGA's Youth
07hivadsdaydec2007.jpg

What's New?

Please get in touch with any comments or reactions to my site.

Lycos MP3 Search

Artist or Song Name:

"Bado inatengenezwa"
"Under construction"